Habari wana jamvi! Poleni kwa mahangaiko ya kusubiri Post za TCU kwa mwezi mzima sasa bila mafanikio ila kwa sasa umefika climax ya usubirifu huo kwani ni siku tano takatifu kuanzia leo ndo zitakupa relief ya kuwaza waza mambo ya tcu na kumkaribisha bwana Loan board.
MUNGU IBARIKI TCU.
MUNGU WABARIKI APPLICANTS WOTE.