ungekuwa hewani tu,si wakupa boom
Tuombe (2pate 2), pesa ipo nyng sana!
kweli bhana (Bilion 360) zote nikose?jamani
hebu nieleweshe penye mabano, Samahani lakini...
kaka kukosa haijalishi kuna pesa kiasi gani.. Kama umepangiwa kupata utapata tu!
Halafu huyu jamaa alifaulu sana tu
m PM labda ataelewa
Kwa alie maliza mwaka huu na mwaka jana uhakika wa kupata ni 100% lakini zaidi ya hapo ni bahati tu.
Halafu huyu jamaa alifaulu sana tu
subiri ataelewa 2
niombee na mimi nipangiwe kupata jamani!
sieleeewii....!
unaelewa ila unajifany kichwa maji
mi sina mpango na tcu,mpango mzima upo heslb
daah we mdada mi kichwa maji?! Daah haya bana
MUNGU YUPO... Tukipangwa chuo kimoja wewee..