House4Rent Inapangishwa Chumba Masta

Dalali Alpha

Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
89
Reaction score
60
Chumba masta (Chumba kimoja cha kulala pamoja na choo chake)

Eneo: Mbezibeach

Bei Tshs 120,000/Mwezi

Maji ya dawasa yapo masaa 24, Usalama Upo wa kutosha, Ipo umbali wa dakika 5 kutembea kwa mguu.

Tuwasiliana: 0686648630



 
Bila kusahau 120,000 ya dalali hapo.

Usikute chumba ilikuwa elfu 80 ila madalali mmepandisha hadi 120 kkkk
 
Bila kusahau 120,000 ya dalali hapo.

Usikute chumba ilikuwa elfu 80 ila madalali mmepandisha hadi 120 kkkk
Kweli dalali, mshahara wake ni Kodi ya Mwezi ( mazungumzo yanazingatiwa )

Ukitaka Chumba cha elfu 80 utatafutiwa, chakuzingatia ni kwamba, haviwezi kufanana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…