House4Rent Inapangishwa Chumba Sebule Choo - Kinondoni

Playman

Member
Joined
Jan 1, 2021
Posts
67
Reaction score
18
Chumba na choo chake, Sebule na jiko.
Ina tiles, gypsum, maji ndani na fensi ipo.
Kodi laki 2 kwa Mwezi, malipo ya miezi 6 yanatakiwa.

Karibu 0742141467

FB_IMG_16168480609640787.jpg
FB_IMG_16168480762463861.jpg
 
Gari tatu zinaingia hapo kwenye uzio wake ? Ipo umbali gani tokea rami vipi usalama ?
 
Parking ipo ya kutosha, ipo kinondoni B sio mbali na kituo cha daladala, ulinzi Upo wa kutosha
 
Swali la kipuuzi..
We ndio mpuuzi na udalali wako wa uswahilini, maana umetangaza ulinzi,nimekuuliza nani analinda huna jibu.Ulinzi huo unatoka kwa yesu au nani?Au unalinda wewe mpangaji akiwa hayupo?Mkataba utakaoandika utaainisha kipengele cha ulinzi?pumbavu.
 
Ww ndio unazingua watu wapo serious na biashara ww unaleta swali la kitoto aseh ndugu be serious mzee watu wanahastle sana
 
usiweke vipengele ambavyo huwezi kuvielezea sema nyumba ina fence inatosha sio kuna ulinzi wa kutosha kama nawe ni dalali
 
We ndio mpuuzi na udalali wako wa uswahilini, maana umetangaza ulinzi,nimekuuliza nani analinda huna jibu.Ulinzi huo unatoka kwa yesu au nani?Au unalinda wewe mpangaji akiwa hayupo?Mkataba utakaoandika utaainisha kipengele cha ulinzi?pumbavu.
Unaonekana hauna uzoefu wa kupanga nyumba nzuri, sio kosa lako.
 
Back
Top Bottom