Point! Back in 90's, nafikiri was 1996 nilisikia kwa mara ya kwanza uncle wangu aliyepo mjini, tena siyo miongoni mwa miji mikubwa, amejenga self-contained. Sifa zilienea kata nzima huko kijijini kwetu.
More than 25years, kuna mtu anasifia choo ndani.. tena maeneo anayoyabrand ni Mbezi beach![emoji848]