inapo bidi tumia picha ya samaki unaye mtamani kulia ugali

inapo bidi tumia picha ya samaki unaye mtamani kulia ugali

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Heshima kwenu mmu.Unajua siku hizi watu wengi wanashindwa kula chakula cha wapenzi wao kisa mboga kaizoea so anataka kubadilisha. Hiyo haisaidii coz utajifanya kula nje ya ndoa na utarudi unahara. Ni bora utumie picha ya samaki umpendae kumlizisha mpenzi wako sio unagusagusa tu eti umeshiba sometimes unalegea mkono ukiwa kwenye sahani eti umechoka. Madada nanyi msitumie mda wa chakula kama sehemu ya kusutana na kuelezana matatizo. jifanye hata unalia mradi aone unajali. ni ushauri tu. :yo: mia
 
Mhhhh! Jana umejisevia kwa picha ya samaki beyonce nini? Manake its 8:00am afu unatupia midini kama hio! Afu mada zingine kwa sie mabachelor zinatukwaza msimu huu wa Kwaresma!

Mimi nacokwambi kaa ukijua cheating is a gradual process! Huamki asubhi na kuanza kucheat.

Stage 1. Unaanza kumkinai ulienae na kupoteza msisimko.

Stage 2. Unaanza kunotice all other women arround u na kuwaona potential. (Ndo upo stage hii ya ku do na Asha huku wamuwaza Chiku)

Stage 3.Unachoka kula kwa macho na kudvp evil intentions ya kuwaza what if ukionja kidogo tu! Na kuturn ur imaginations to a reality? Unaamua kuonja! And it surely feels incredible!

Stage 4. Freedom from the cage! Unagundua u missed so much sasa unaanza kumparamia kila unaemuona to make up for the time and goodies that you missed!

Stage 5. The death of concious! Dhamira yako inakufaaaa kabisaaaa! Ujajitoa muhanga na kujiandaa na explations incase you got caught.
 
haaaa hata kama kitu kinawasha kama ----- we uvumilie 2 ucjikune, bila shaka jana utakua umehondomola kwa picha ya samaki
 
Mmmh tukianza kuapply hizo ni sawa na movie sijui nani atapewa Oscar hapo, full usanii
 
Lazima hilo penzi liwe na "utapiamlo" mwishowe linakufa
 
Heshima kwenu mmu.Unajua siku hizi watu wengi wanashindwa kula chakula cha wapenzi wao kisa mboga kaizoea so anataka kubadilisha. Hiyo haisaidii coz utajifanya kula nje ya ndoa na utarudi unahara. Ni bora utumie picha ya samaki umpendae kumlizisha mpenzi wako sio unagusagusa tu eti umeshiba sometimes unalegea mkono ukiwa kwenye sahani eti umechoka. Madada nanyi msitumie mda wa chakula kama sehemu ya kusutana na kuelezana matatizo. jifanye hata unalia mradi aone unajali. ni ushauri tu. :yo: mia

Aisee, hofu yangu ni kwamba ili upate maximum positive results, nahisi itabidi umuonje kwanza huyo samaki na uifahamu ladha yake kisha uitumie picha yake nyumbani! Am I correct?
 
Haisaidii kuimagine unakula pelege wakati unakuta kambale!!
Let me try to get you correct! Ina maana cku ukijisikia kula kambale, kula kambale na cku ukijisikia kula perege; kula perege! Am I right Sir?
 
Mmmh tukianza kuapply hizo ni sawa na movie sijui nani atapewa Oscar hapo, full usanii

Nazani atakayestahili kupewa tuzo ni yule ambae atafana katika mtihani wa kumla perege wakati kiuhalisia anakula kambale!
 
imagination is a poor substitute ya reality.
wee gegeda yule unaye mtamani kwa raha zako
 
Haisaidii kitu hiyo kama umekinai acha tu hapo fata moyo yako inapopenda!!!!
 
Haha haaaaaaa

Mia!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Heshima kwenu mmu.Unajua siku hizi watu wengi wanashindwa kula chakula cha wapenzi wao kisa mboga kaizoea so anataka kubadilisha. Hiyo haisaidii coz utajifanya kula nje ya ndoa na utarudi unahara. Ni bora utumie picha ya samaki umpendae kumlizisha mpenzi wako sio unagusagusa tu eti umeshiba sometimes unalegea mkono ukiwa kwenye sahani eti umechoka. Madada nanyi msitumie mda wa chakula kama sehemu ya kusutana na kuelezana matatizo. jifanye hata unalia mradi aone unajali. ni ushauri tu. :yo: mia
Huna akili
 
Tujizoeshe nafsi zetu kuridhika na ulicho nacho
 
Back
Top Bottom