Inapobidi kumkana mama

Joined
May 2, 2018
Posts
20
Reaction score
27
Umetulia ZAKo KWENYE Sherehe na MTOTO mkali Unamtongoza maraa MAMAAKO anakuja na Sahani Limeja wali

"WEKa Kwenye RAMBO kubwa Mkale na WADOGo zako mie LEO sipiki Tena na OLE WAKO Ule Njiani " [emoji13][emoji13]Unaweza SEMA mama mie sio mwanao, mwanao Katoka hapaa sio Muda[emoji23] issue Utarudia Wapiii??
 
Chochote akifanyacho na atakachokifanya Mama yangu YUPO SAHIHI NA ATABAKI KUA SAHIHI.

yaaan nimkane mama yangu ,kisa kademu???? ...duuuhhhh Nitamkataa mwanamke kwa ajili ya Mama na Baba yangu ikiwa tu "Atashindwa kujua mipaka yake na Wazazi wangu"...alafu naoa mwingine ,naye akileta ujinga ivo ivo ,nahisi nitaendelea kufanya ivo as long as Uwezo wakufanya ivo upo na wazaz wangu wanakua na Aman na Furaha.
 
sio kirahisi ivyo kumkana bi mkubwa
 
Haya mawazo aliwahi kuwa nayo jamaa furani hivi

Lakini mpaka sasa tunaongea ni...
 
Umkane mama kisa mtoto mkali????[emoji57] [emoji57]
 
Kwa hiyo mwanamke wako ni wa maana na muhimu kuliko mama yako anaechukua chakula ili mkale wewe na wadogo zako?

Pole kwa mzazi wako.
 
Duh ila hii huwa inatokea sana sema wengi wanakana

Watu wapo tayar wahonge gari,nyumba,simu bei mbaya kwa wanawake kuliko kumtumia mama vocha hata ya jero au kumtumia laki moja kila mwezi
 
Ndio ntajishtukia,ila ntapokea hilo rambo vizuri tu mkuu,mama will always be a mama tu...huyo girl atakavyochukulia atajua yeye
 
Dah ni changamoto ila sitaki kupata laana kwa kumkana mama yangu...hivyo hata akifanyaje simkani.

Bora huyo mwanamke aniache.
 
Hakuna wa kufananishwa na mama katika dunia hii. Yote yatapita lakini upendo wa mama utabaki daima.
 
Wewe ni mpare?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…