Inapotajwa Yanga kwa simba linakiwa tatizo kubwa.

Upo kwenye siku zako nini?Sitaki vinuka mkojo.
 
Naona umeshindwa kujibu hoja zangu kwani ni ukweli.Umeamua kuwasema mbuni kutumbukiza kichwa kwenye mchanga huku mgongo upo wazi. Jibu hoja wacha longolongo.
Unaamini hizo ndio sababu za msingi zilizopelekea Simba kukosa ubingwa?
 
Mimi ni mwanaYanga mwenzako wa kimataifa. Tujadili kichapo tutakachompiga mtani, kwa maana juzi walisema tumewafunga kwa goli la mkono la Tambwe.
Simba watoto wadogo wale mkuu wala usihofu tunawagonganishwa vichwa wangombana wao kwa wao sisi tunapiga bao
 
Kunapokuwa hamna fairness kwenye maamuzi kunachangia timu zingine kukosa fair chance ya kugombea ubingwa pamoja marefarii walioandaliwa maalum Saanya alikuwa amefungiwa kafunguliwa kaanza na mechi ya Simba na Yanga unajua kilichotokea. Msimu uliopita refa mwanamke aliletwa maalum kwa mechi hiyo unajua kilichotokea.
 
Acheni mdomo chezeni mpira hamuwezi waachieni wanaoweza
 
Najibishana na mwenye mbwa wewe mbwa kaa pembeni. Kufuata mkumbo utadandia ikwamie nyuma.
 
Eti Ngoma kumpiga kichwa Kesy na Tambwe kumshika nanii ndio sababu za kukosa ubingwa? Mlipofungwa na vitimu vidogo navyo viliwapiga vichwa na kuwashika sehemu za siri? Mkiitwa mbumbumbu mnakasirika.
Mnawalaumu waamuzi kwenye mechi moja mnasahau mmefungwa hadharani na African Lyon na Prison.
 
Rage anawaitaje hawa jamaa?
 
dah aje sembo ajibu hoja hapa
 
Hoja gani za wenye kukodishwa kama sufuria za hitima. Kwani nyie hamjafungwa?Na bado tumewazidi pointi 2.Mpigieni magoti baniani akiondoka mtachangisha kama vikao vya harusi.
 
Soma tahariri ya habarileo kuhusu mwenendo wa ligi na maamuzi juu ya timu fulani na TFF. Watu sio vichaa kulalamika.
 
Soma tahariri ya habarileo kuhusu mwenendo wa ligi na maamuzi juu ya timu fulani na TFF. Watu sio vichaa kulalamika.
Bila shaka mwandishi wa hilo gazeti ni mnazi wa SIMBA
 
Kwahyo nyie simba msimu mzima mlikua mnacheza na yanga tu? Msimu mzima mlikua mnashona sare za harusi, halaf mlalamike Yanga kabebwa, hebu shindeni mechi zenu muone kama yanga itabebeka.
 
Kwa ufahamu huo, inaonekana hamjajitambua na yanga itawapiga bao kila mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…