mambo anayonifanyia yule jamaa wewe hujawahi kunifanyia
sasa hutopenda kujuwa nini hukifanyi ?inawezekana ni kajambo kadogo tu kama vile kukisi vidole vyake vyamikono NK.
Jalia Unamuhudumia kila anachokitaka kutoka A to Z ikatokea siku moja ukagunduwa kuna mtu anachovya asali uitunzayo ,katika kukabiliana nae mpenzi wako ili ujuwe ni kitu gani kilichomfanya achukuwe hatuwa ya kufanya kitendo hicho? katika majibizano yenu akatowa kauli na kusema mambo anayonifanyia yule jamaa wewe hujawahi kunifanyia,Jee utakuwa tayari uyajuwe hayo majambo ili uweze kumfanyia na kutunza penzi lenu?
ubadilishe mtandao unaotumia kama ni Voda pekee, uende tigo pia!!!!Inaweza tu kikawa kitu kidogo tu kuwa ubadilishe mtandao unaotumia huenda ni wa bei ghali madhali ni Voda uende tigo!!!!
...Kwa nini asiniambie nimkiss vidole ili aridhike? wengi wetu huwa hatuwi wazi kwenye kutaka kuridhishana unataka iwe automatic kuwa mwenzi wako atajua yeye tu jinsi ya kukuridhisha mwisho wake ndio huu...Ni kosa.sasa hutopenda kujuwa nini hukifanyi ?inawezekana ni kajambo kadogo tu kama vile kukisi vidole vyake vyamikono NK.
Is obvious kuwa pressure itapanda na kushuka ila hata kama utampiga chini ni vema ujikaze upate kujua ni vitu gani ambavyo umeshindwa kumfanyia ila ukautumie huo uzoefu huko uendako.Inaweza tu kikawa kitu kidogo tu kuwa ubadilishe mtandao unaotumia huenda ni wa bei ghali madhali ni Voda uende tigo!!!![/QUOTE]
You make my day!!
ubadilishe mtandao unaotumia kama ni Voda pekee, uende tigo pia!!!!
Now you are talking bra!! tigo ni mtandao bomba! abadilishe tu mambo yatakuwa safi.Huu ni uvunjifu wa maadili, na ni ulimbukeni wa kipumbavu sana ambao watu na akili zao wanaiga bila bila kuchuja na kujua madhara yake.
Pornography imekuharibuni sana ndugu zanguni.
Tumeingia kwenye hii teknoloji ya mitandao bila kujiandaa.
I hate every one who mentions the right words in opposite meanings.
Tigo itaendelea kuwa Tigo, na ni mtandao bomba.
Mshindiliwe na mlegee!!
Kama ni kweli jamaa ana mpa raha za dunia ambazo mie siwezi kumpa kinachomfanya asihamie hukohuko ni nini.Ingawa wadau wanasisitiza kujua hicho anachofanyiwa huko,lakini pia ningependa kujua kinachomuweka kwangu ni nini?Kwa kweli no matter what huo ndo utakuwa mwisho wa safari.Hawa viumbe huwa hawanipi tabu na ninamshukuru Mungu kwa kuwaumba wengi
Jalia Unamuhudumia kila anachokitaka kutoka A to Z ikatokea siku moja ukagunduwa kuna mtu anachovya asali uitunzayo ,katika kukabiliana nae mpenzi wako ili ujuwe ni kitu gani kilichomfanya achukuwe hatuwa ya kufanya kitendo hicho? katika majibizano yenu akatowa kauli na kusema mambo anayonifanyia yule jamaa wewe hujawahi kunifanyia,Jee utakuwa tayari uyajuwe hayo majambo ili uweze kumfanyia na kutunza penzi lenu?
Jamani nimecheeeeeeka ..hivi kweli utataka ujue huwa anafanyiwaje kama anapewa kisamvu cha kopo na wewe utaamua kumfanyia mkeo ili asiend huko anakoenda
Kama anaona kule ndo kuko sawa basi talaka inamfaa ili aende huko apewe hicho anachokipata
Nadhani ilivyoandikwa ni vivyo hivyo. Tigo ni tigo na voda ni voda. Yote ni mitandao na yanafaida zake na hasara zake na pia zina uhusiano fulani fulani, yanalandana ktk mambo fulani.Huu ni uvunjifu wa maadili, na ni ulimbukeni wa kipumbavu sana ambao watu na akili zao wanaiga bila bila kuchuja na kujua madhara yake.
Pornography imekuharibuni sana ndugu zanguni.
Tumeingia kwenye hii teknoloji ya mitandao bila kujiandaa.
I hate every one who mentions the right words in opposite meanings.
Tigo itaendelea kuwa Tigo, na ni mtandao bomba.
Mshindiliwe na mlegee!!
...Kwa nini asiniambie nimkiss vidole ili aridhike? wengi wetu huwa hatuwi wazi kwenye kutaka kuridhishana unataka iwe automatic kuwa mwenzi wako atajua yeye tu jinsi ya kukuridhisha mwisho wake ndio huu...Ni kosa.
Aaaah wapi, mi lazima anieleze anachopewa ili nami nimfanyie nithibitishe. Akipatwa maruhani naongeza ufundi halafu nasepa. Naenda kuupeleka huo ufundi kwa wengine ili kulipa kisasi.