hiyo kitu kama unamoyo mdogo unaweza ukazilau,ila cha msingi ni kujikaza kujidai kama ujasikia vile bila kumwonyesha chuki yeyote,mpaka pale utakapojua ni nini hicho anachofanyiw,then rasmi unamtoa nduki kwa dhambi ya uzinzi.then unakwenda kutoa mautam kwa kimwana mpya.