Upo sober mamii?
Wee hapo bilashaka unaandika ukiwa usingizini mkuuWana Jf amlali au ndo stress za maisha.
Vipi mwaya?
Hata kama kalewa lakini anaendesha nchi yake vizuri kama sio mlevi, kuna wengine hawalewi lakini wanavyotawala nchi zao ni kama au zaidi ya walevi kwa maneno na hata matendo yao, tena na uzinzi uliovuka kiwango
Dada naomba kuskia neno lako hapa!
LolIla Uhuru mshkaji sana, nahisi viongozi wanaishi nae kishkaji sana, hapo aliposimama na mkuu wa majeshi unaweza kuta walikua wanapiga story za mchepuko.
Naona Mkuu wewe ulikuwa umelala!Wana Jf amlali au ndo stress za maisha.