Inasemekana Floyd Mayweather hajui kusoma na kuandika

Mihela imeandika hiyo post shida ya nini sasa,wakati anakwepa ngumi kuna mwehu mwenzetu alikua kakalia madawati na leo hii analipwa na uyu mhuni ambae alikimbia madawati yaani kama kuna mtu anaweza ku-delete folders zote za shuleni kichwani mwangu alafu anipe mihela mbona fast tu nawahi kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…