Mba umemsahau alikuwa na miguu yote ya kushoto. Huko kwao alikuwa ni bouncer. Wakampendea umbo.jaja pekeyake anatosha kuwa galasa bovu kuwai kutokea ktk historia ya mpira bongo.
Galasa hilo hilo ndio liliwatungua mbilijaja pekeyake anatosha kuwa galasa bovu kuwai kutokea ktk historia ya mpira bongo.
licha ya kumwekea manyika jr golin alishindwa hata kufunga goli la offsideGalasa hilo hilo ndio liliwatungua mbili
jaja pekeyake anatosha kuwa galasa bovu kuwai kutokea ktk historia ya mpira bongo.
licha ya kumwekea manyika jr golin alishindwa hata kufunga goli la offside
Hapo hakuna mchezaji aliehusika kwenye yale mauaji ya shalobela, ya tano bila, maana manji anajaribu kuhangaika kurudisha zile gori, zinashindikana pamoja kutumia pesa kufanya awezalo ikiwa pamoja kuwarubuni wachezaji wazuri wa Simba.
Mba umemsahau alikuwa na miguu yote ya kushoto. Huko kwao alikuwa ni bouncer. Wakampendea umbo.
aisee kumbe jaja alimaliza msim na tim ikabeba ndoo? niliku sijui asee
Galasa anaisaidiaje timu yake kubeba Ndoo.
Au wewe ni shabiki wa Azam.! Ila Manula anamkumbuka sana Mbrazil huyu. Alienda kukanda kiuno chake baada ya jutaka kuthubutu kufuata ule mpira.
Hebu nitajie jina la mchezaji yeyote unayemjua wewe kuwa ni galasa halafu kaisaidia Timu yake kutwaa ubingwa wowote ule.
Pengine nami nitaamini kuwa Jaja alikuwa Galasa. [emoji23] [emoji23]
Galasa lilioiletea timu yake Ngao ya Jamii kwa goli tamu dhidi ya Klabu Bingwa nchini, likiwa na miezi michache tu tangu kusajiliwa!jaja pekeyake anatosha kuwa galasa bovu kuwai kutokea ktk historia ya mpira bongo.
Kama ukumbuki nenda Chamanzi pale.aisee kumbe jaja alimaliza msim na tim ikabeba ndoo? niliku sijui asee