Inasemekana Ilhan Omar aliandaa shughuli ya kuolewa na kaka yake ili ahakikishe kaka yake asitupwe nje ya Marekani na kurudi Somalia

Inasemekana Ilhan Omar aliandaa shughuli ya kuolewa na kaka yake ili ahakikishe kaka yake asitupwe nje ya Marekani na kurudi Somalia

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kiongozi wa jamii ya Somalia iliopo USA, Abdihakim Osman anadai Ilhan Omar alikiri Ilhan kuolewa na kaka yake, Ahmed Elmi, ili kupata nafasi ya kuendelea kuishi Marekani.

Osman: "Alisema alihitaji kupata documents ya kuhakikisha kuendelea kuwepo USA kaka yake, sisi tulifikiri alimaanisha ukaaji tu na sio ndoa.”

Harusi ya Omar ya 2009 na Elmi iliripotiwa kuwa siri, bila wanajamii wa Kisomali walioalikwa.
20250211_131035.jpg

Ilhan ni mkosoaji mkuu wa Israel, uyahudi, Trump, capitalism na sera za uhamiaji za Marekani.
 
Kwa hiyo anapelekewa moto na kaka yake au ni ndoa ya kuzuga tu ili asitimuliwe marekani?
 
Mbona hii habari iko hewani inaelea? Kwa hiyo nini kinaenfelea Sasa? Hiyo michezo ipo huko ughaibuni hasa hasa Jamii toka Africa magharibi kiongozi akiwa Nigeria.
 
Mbona hii habari iko hewani inaelea? Kwa hiyo nini kinaenfelea Sasa? Hiyo michezo ipo huko ughaibuni hasa hasa Jamii toka Africa magharibi kiongozi akiwa Nigeria.
Wahindi ndio waanzilishi
 
Back
Top Bottom