Ni ndoa za kuizuga Idara ya uhamiaji, hawapigani miti. Lengo ni kupata document tu.Kwa hiyo anapelekewa moto na kaka yake au ni ndoa ya kuzuga tu ili asitimuliwe marekani?
ishu ni kwamba wanakulana?Hizo ni ndoa za kawaida sana huko US na UK. Wahindi ndio walizianzisha ili kupata pepa. UK zinajulikana kama "Sham marriage "
Hawakulani.ishu ni kwamba wanakulana?
Wahindi ndio waanzilishiMbona hii habari iko hewani inaelea? Kwa hiyo nini kinaenfelea Sasa? Hiyo michezo ipo huko ughaibuni hasa hasa Jamii toka Africa magharibi kiongozi akiwa Nigeria.
Na sheria za Marekani zinaruhusu mtu kuoana na dada yake?Ni ndoa za kuizuga Idara ya uhamiaji, hawapigani miti. Lengo ni kupata document tu.
Hakuna Nchi inayoruhusu, mamlaka zinakua hazijui kama ni ndugu.Na sheria za Marekani zinaruhusu mtu kuoana na dada yake?