Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
ana impact kubwa sana, na kwasababu simba mlimtupilia mbali, atafanya juu chini ili awaonyeshe kwamba mlifanya makosa. though kwasababu amekuwa simba muda mrefu ni rahisi kurubuniwa ili asikaze.Jonas Mkude amepewa kandarasi ya mwaka mmoja pale jangwani, hizi timu bana, sasa Ambundo na Mkude nani mwenye afadhali, Ambundo ni kiungo wa pembeni lakini ana msaada kuliko huyo Mkude ambaye naamini mmemsajili ili kuleta tension Simba.
Mkude hana impact yoyote
Nyoni, Boko,Onyango pia watu wazima.Wakati fulani vijana mnatakkwa kutambua kuwa utu uzima ni dawa. Angalia michango ya akina Sure Boy, Khalid Aucho, na wengineo wengi pale Jangwani!
Hivyo sitashangaa kumuona mchezaji kama huyo akisajiliwa.
Tunamtakia kila la kheri hatuna deni nayeJonas Mkude amepewa kandarasi ya mwaka mmoja pale jangwani, hizi timu bana, sasa Ambundo na Mkude nani mwenye afadhali, Ambundo ni kiungo wa pembeni lakini ana msaada kuliko huyo Mkude ambaye naamini mmemsajili ili kuleta tension Simba.
Mkude hana impact yoyote
hawaoni mudathir alivyo pikwa pale.Wakati fulani vijana mnatakkwa kutambua kuwa utu uzima ni dawa. Angalia michango ya akina Sure Boy, Khalid Aucho, na wengineo wengi pale Jangwani!
Hivyo sitashangaa kumuona mchezaji kama huyo akisajiliwa.
Sahihi kabisa. Mudathir wa Yanga na yule wa Azam, ni wachezaji wawili tofauti.hawaoni mudathir alivyo pikwa pale.
Mudathir naye mzinguaji tuhawaoni mudathir alivyo pikwa pale.
Sawa. Bila shaka huyu hataitwa mzeeNdio ngoja ligi ianze atakuja kuwaprove wrong makolo.
sijawaelewa yanga kumsaini mkude,hivi umri wake nani anaujua?Jonas Mkude amepewa kandarasi ya mwaka mmoja pale jangwani, hizi timu bana, sasa Ambundo na Mkude nani mwenye afadhali, Ambundo ni kiungo wa pembeni lakini ana msaada kuliko huyo Mkude ambaye naamini mmemsajili ili kuleta tension Simba.
Mkude hana impact yoyote
Umesahau ya Saido Ntibazonkiza au ulikuwa hujazaliwa?Ndio ngoja ligi ianze atakuja kuwaprove wrong makolo.
Eti ndio wanatumia weledi kuongoza timu, unamfukuza morrison unamchukua mkudeMkomoeni Fc
Una shida na mkude?Jonas Mkude amepewa kandarasi ya mwaka mmoja pale jangwani, hizi timu bana, sasa Ambundo na Mkude nani mwenye afadhali, Ambundo ni kiungo wa pembeni lakini ana msaada kuliko huyo Mkude ambaye naamini mmemsajili ili kuleta tension Simba.
Mkude hana impact yoyote
Jamaa una uchambuzi ule wa kimtaa mtaa yaani wa kwenye vijiwe vya kahawaAina ya uchezaji wa Mkude anafaa tu pale timu pinzani inapopaki basi. Hapo utamuona Mkude bonge la kiungo kwani ni mpigaji pasi mzuri sana hakuna mfano. Lakini siku akikutana na timu inayopeleka moto mwanzo mwisho utamkataa Mkude kwa sababu kwanza hana kasi na pili hajui kukaba kabisa zaidi atacheza rafu hatarishi kwa timu yake.Ili.
Ili umfaidi Mkude we mwekee tu mtu anayejua kukaba basi utafurahi. Pale Simba kuna wakati alikuwa wa moto lakini watu walikuwa hawajui kuwa alikuwa anakabiwa na Fraga na wakati mwingine Tadeo Lwanga. Ukimuacha mwenyewe acheze kama kiungo mkabaji kulinda "back four" anakuwa sawa na kifaranga cha kuku kilichotelekezwa na mama yake.