Msishangae wataalam
Inasemekana Goalkeeper mahiri wa Simba SC anao uwezo mkubwa kutumia miguu yake kudaka mipira.Sababu hii inapelekea kuruka upande wa kushoto tofauti na uelekeo wa mpira ili aweze kutumia miguu yake kudaka mpira.
Kongole Wanasimba kwa ushindi mnono, Kongole Wanalunyasi kupata kipa mahiri 😄
Hapa kijana akijiandaa kunyaka shuti kali.
View attachment 2603584