Inasemekana lakini...

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Kuna tetesi tokea juzi kiungo nazi ni adimu sana hapo mjini Dar es Salaam ni sababu tajwa ni mechi ya Simba na Kaizer.

Kama ni kweli kwa hakika hiyo hali haikubaliki kamwe!

Serikali itoe tamko na kulaani hali hiyo ili isijirudie.

Haiwezekani Taifa liwe na upungufu wa kiungo nazi kila ikaribiapo mechi yeyote ya Simba.

Vipi huko kwenu,mnyama paka yupo?!

Nawasilisha πŸ˜‰
 
Tushatolewa atutaki utani na mtu,tukutane vpl sasa muone mziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…