Inasemekana Lulu kaonekana uraiani

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
2,217
Reaction score
2,970
Morning beatiful people

Ther is rumors spreading all over the jiji kuwa
Elizabeth michael She's free!
Well, kinda lulu left prison on May 11 baada ya kukaa miezi kadhaa behind bars.inavyosemekana its true kuwa lulu ameachiwa na yupo huru baada ya kuonekana uraini siku ya jana jumapili na piaa baadhi ya watu wa karibu wametoaa hiyo siri ambayo hamna aliyekuwa anajuaa waala haikutangazwa na chombo chochote cha habari

Kumekuwa na mkanganyiko na sintofahamu kwa baadhi ya watu kutokana na kitendo cha watu kutokuelewa imekuwaje lulu yupo uraiani??
je lulu alipata msamaha wa Raisi au alikata rufaaaa ambayo imemsababishia awepo nje ya kifungo au ndo dady kashaenda as it was said before by R.C aliyesema "dont worry dady is coming"
kwa kuwa hizi ni taarifaa za awali kutoka kwa mashuhuda waliomuona jana jumapili maeneo flani basi lets wait and see endapo baadae zitajitokeza taarifaa rasmi za kuachiwa kwake.............
Time is the best answer, lets hope for the best!!!

Mambembe queen of all weather
The unstoppable
Mama of bans
 
Reactions: BAK
Hayo ndo malipo baada ya kubana kwa muda mrefu mwishoe akaachia.
Chezea wakubwa ww
 
Hizo ni tetesi na uzushi wako. Huna chanzo cha habari hii. Kwanini hukutulia ukatafuta evidence kisha uandike? Wataka mfurahisha nani?
 
Lete ushahidi wa hii hoja.
Usipoleta cheo cha "queen of bans" kitazidi kushamiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…