Inasemekana Mandonga alikuwa bondia mzuri miaka ya nyuma, nini kimempata?

Richard mtao

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
262
Reaction score
361
Karimu Mandonga ni bondia aliyeanza safari yake ya masumbwi miaka kadhaa iliyopita. Na inavyosemekana, miaka ya nyuma alikuwa ni bondia mzuri sana.

Swali ni je, nini kimempata Mandonga?

1665647551647.png
 
Zamani alikua mtu ngumi, sasa hv n mtu kazi.
Bongo hii ukipata gepu unaishi nalo regardless ya linavoonekana. Mbona pierre tunamsahau? Yawezekana na yeye maybe alikua mwalimu mzuri or smthn else, lakini tumekuja kumjulia kwenye gambe
 
Yaani bongo yetu ukitaka kutoboa inabidi ujizime data kwanz.

Watu wanaongoza kupenda vitu vya kijinga kijinga tu haha
 
B

Back
Top Bottom