Richard mtao
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 262
- 361
Hahahhha kweli?alikuwa mlinzi wa watu pori
Yaani bongo yetu ukitaka kutoboa inabidi ujizime data kwanz.Zamani alikua mtu ngumi, sasa hv n mtu kazi.
Bongo hii ukipata gepu unaishi nalo regardless ya linavoonekana. Mbona pierre tunamsahau? Yawezekana na yeye maybe alikua mwalimu mzuri or smthn else, lakini tumekuja kumjulia kwenye gambe
Nakubaliana naweweWakati ni ukuta... Kila zama na zama zake...
Aiseeee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Itakuwa ni chips
Nasikia jamaa huwa ana kula hata sahani 5 kwa siku
Zamani alikua mtu ngumi, sasa hv n mtu kazi.
Bongo hii ukipata gepu unaishi nalo regardless ya linavoonekana. Mbona pierre tunamsahau? Yawezekana na yeye maybe alikua mwalimu mzuri or smthn else, lakini tumekuja kumjulia kwenye gambe