Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Status
Not open for further replies.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Picha Lina Anza drone haionekani katika rada yaani wakati nyie mnahisi kuwa mpo salama Kwa kuwa mna technology iliyo advance kumbe wenzenu Wana wachora tu, Daahh aibu sana
Ukiona wale wanajeshi wa Israel wamelia kwa Uchungu sana wamesahau wapo vitani wanaona kama wameonewa ndio maana tunawaambia hii vita haina maana ni kama ile ya Ukraine kule sema wavimba macho wanadhani inawahusu kumbe wapi..
 

View: https://x.com/IDF/status/1845719319449145830?t=6whvKuOJ06LABS6RgMXm6g&s=19GOD BLESS ISRAEL
 
Vita havina macho !
Wanaoshabikia Vita ni sawa na Ubaya Ubwela wa Simba na Yanga !!
Ahmedi Ally vs Ally Kamwe wanatufurahisha sana wanavyo charurana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜³

Vita ni habari nyingine Mazee !
Ndio maana hatuitaki Vita itokee Nchini mwetu !
Wenye kuitaka Vita washindwe na walegee ! Na wahamie huko Middle East kabisa πŸ™
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…