Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Status
Not open for further replies.
Vipi umechanganyikiwa?
 
Ndio nini wewe qafiri
 
Kumbukeni kwenda kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura, zoezi linaendela kwenye kila kituo.
 
Wahuni wana drone ambayo ilienda kuangalia ratiba yao ya chakula ni saa ngapi na maeneo gani hapo kambini ikarudisha taarifa harafu baadae ikaenda kupiga hao watu sio wa kupigana nao kabisa kwenye hii vita ya kisasa maana wanajeshi watatu wanatengeneza huo mchongo wa kuvamia Kambi kwa kutumia drone.
 
MARA;
Netanyahau ajeruhiwa shambulio ya Houth.

IKAJA;
N etanyahau akimbia Nchi shambulio la Iran.

SASA;
Mkuu wa Majeshi Israel auwawa na drone ya Hisbollah.

BAADE;
Loading.................

AKILI ZA MBUZI UTAZIJUA TU (jaribu kujua tabia za MBUZI)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…