Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Status
Not open for further replies.
 
Yani wewe mwehu hujui kua kahaba kaongopa kisa kumtetea BWANA WENU au umejisahaulisha
Yoshua 2:1-9
Yani uongo kwenu rukhsa na makahaba mnawatumia.
Nawewe humu unathibitisha kua nyie uongo kwenu ruksa kikubwa mumtetee Bwana
 
Nimeamini nyie makahaba uongo ni desturi yenu haya kalale kifuani kwa Ibrahim kwanza kama Razalo
Luke 16:23

Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake.
 
Kama Halevi kapona atakua ICU ile target ya Jana alikua anatafutwa yeye. Tusubiri taarifa kamili kama tutamuona kwenye media
 
Ila dini ni adui namba moja wa ubinadamu aisee. Yaani watu wanavyoandika kuhusu watu wanavyokufa utafikiri wanasimulia vifo vya mende. Kisa tu si wa dini yake labda.
Anaeingiza mambo ya dini humu atakua taahira.hapa Kuna pande mbili palestina na Israel hayo mengine ya dini wanaingiza mapunguani.
 
Kama Halevi kapona atakua ICU ile target ya Jana alikua anatafutwa yeye. Tusubiri taarifa kamili kama tutamuona kwenye media
Wenzao wanapowatafuta Hezbollah wanawatwanga sana. Si umeona mwenyewe? Wala huwa hawahangaiki kuzusha wanawagonga kisawasawa.
 
Ila dini ni adui namba moja wa ubinadamu aisee. Yaani watu wanavyoandika kuhusu watu wanavyokufa utafikiri wanasimulia vifo vya mende. Kisa tu si wa dini yake labda.
Ndiyo maana kuna mtaalam aliwahi kusema Religion is ana opium! Kwa ufupi tu, Opium ni aina ya madawa ya kulevya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…