Inasemekana: Mnyakyusa ananyemelewa kusitisha mkataba lebo ya Mmanyema na kusainiwa kwenye lebo ya Mmakonde.

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Kuna jamaa watatu nimewakuta wamechill somewhere,
Kwa maongezi yao wanaonekana kuwa ni wadau wazuri sana wa tasnia ya burudani hapa mjini na ni watu wenye taarifa kuntu sana juu ya tasnia hii.

Sasa katika mazungumzo yao nikasikia tetesi za kuwa ndugu Mnyakyusa anaweza akanyakuliwa kutoka katika lebo ya Mmanyema na kusainiwa lebo ya Mmakonde.

Wadau wenye ubuyu uliokomaa wanaweza wakaja kuongezea nyama hapa.

[Hizi kodi ni simpo sana, hata chekechea anazifungua- hivyo asije mtu akajifanya hajaelewa kitu hapa].
 
Mnyakyusa aka ajiliwe na chonga BIG NOOOOO
 
Sasa mpaka habari hii ni ya kuweka kwenye code kweli?yani kufanya watu waanze kufikiria myakyusa mmakonde na mmanyema? Kisa habari ya burudani?
 
Kwa kipi alichonacho mnyakyusa?

Mmakonde anaenda kumsaini Marioo, msanii pekee anayewashinda madogo wote wa mmanyema kwa sasa hata huyo mmakonde.
 
M

Yaani mwanamme wa Kinondoni anajulikana tu kwa umbea na kuzungumza vitu vya kijinga kila kukicha.
 
mkuu ubuyu haujazwi nyama. ubuyu yake rangi na sukari kidogoo fleva kwa umbalii kumtia wenge mlaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…