Hatari sana.samuyaDada anayesimamia mochwari ya Mwananyamala hajulikani alipo, kutokana na video za maiti za waandamanaji kuvuja. Mdugu zake wananmtafuta mpaka sasa.
Mpaka mtu unashindwa kuelewa ni akili gani zinatumika huko serikalini! Kumkamata huyo dada, yule daktari aliyekuwa wa Mwanza inasaidia nini wakati Dunia nzima inajua ukweli?
Hakuna namna nyingine zaidi ya kuwajibika kutokana na vifo vyote vilivyotokea, damu ya mtu haiendagi bure, kila tone lililomwagika lazima lilipiwe.o
View attachment 3504953
Huyu bibi itakuwa kala kiapo cha kujivua utu. Ni shetani rasmi.
Hili jambo hata mimi nililiongea siku za mwanzo tu baada ya mtandao kurejeshwa ya kwamba huyu kwa sasa siyo binadamu wΓ kawaida kama tulivyo sisi. Kwa sababu angekuwa ni binadamu wa kawaida, nina imani nafsi yake ingemsuta.Kuna wakati unafikiria "au huyu mtu ni wakala wa shetani katumwa kuja kutuvurugia nchi yetu"πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Huyu kiumbe mpaka hao wanawake wenzake wanamshangaa kwa kujaliwa roho ya ukatili uliopitiliza, kisa tu aendelee kubakia madarakani.It is more sickening ukifikiria haya mambo yote yanafanywa na mwanamke.
Na inakera zaidi ukiwaza kuna madume pale juu yanamuacha afanye huu upuuzi wote wa kuumiza familia za watu, halafu yenyewe kazi yao ni kupokea order tu.
Completely failed state.
Hapa karibu na kijiweni kwangu kuna wanawake ambao walikuwa ni staunch supporters wa Samiya, na hata kwenye uchafuzi huu uliopita walienda kutick, ila baada ya familia zao kuumizwa na majangili wa samia ile tarehe 29 licha ya kukaa ndani na kutojihusisha na maandamano...Huyu kiumbe mpaka hao wanawake wenzake wanamshangaa kwa kujaliwa roho ya ukatili uliopitiliza, kisa tu aendelee kubakia madarakani.
Na kuhusu hao jamaa wenye kengele kama sisi, kwa kweli na wrnyewe wanatakiwa wafikie wakati wajitathmini! Yaani dume zina na akili yako unatumwa ukaue binadamu mwenzako na huyo ibilisi, eti unakubali! Huu ni uwendawazimu.