Inasemekana shetani/ibilisi ni handsome kuliko kiumbe chochote mbinguni na duniani??

Inasemekana shetani/ibilisi ni handsome kuliko kiumbe chochote mbinguni na duniani??

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Inakuaje tumeaminishwa mchizi anasura mbaya wakati ni tofauti na uhalisia
 
So wewe unasura kama shetani

USSR
 
So wewe unasura kama shetani

USSR
Anachorwa kua ana sura mbaya kutokana na matendo yake. Lkn kulingana na biblia. Shetani ana. Sura nzuri kuliko malaika wote. Ameumbiwa kila aina ya madini. Kumbuka anatajwa kua alikua malaika mkuu. Aliumbwa kwa madini ya thaman sana. Sisi tulifinyangwa tu. Kile ni kitu kingne kwa uzuri

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom