Anachorwa kua ana sura mbaya kutokana na matendo yake. Lkn kulingana na biblia. Shetani ana. Sura nzuri kuliko malaika wote. Ameumbiwa kila aina ya madini. Kumbuka anatajwa kua alikua malaika mkuu. Aliumbwa kwa madini ya thaman sana. Sisi tulifinyangwa tu. Kile ni kitu kingne kwa uzuriSo wewe unasura kama shetani
USSR
Sasa hiyo picha yake iko wapi tumuone?Inakuaje tumeaminishwa mchizi anasura mbaya wakati ni tofauti na uhalisia
Nabii Yusuph ndo mzuri kuwahi kutokea duniani.Inakuaje tumeaminishwa mchizi anasura mbaya wakati ni tofauti na uhalisia