Inasemekana: Simba Sc ndiyo watacheza na Everton,sio Kariobang Sharks

Hao Bangi kali ndio wanastahili kucheza na Everton
 
Taarifa rasmi itatoka hivi punde

Sababu ni kutokana na Bandari na Kariobang sharks kutokuwa katika udhamini wa Sportspesa yaani Sportspesa sio main sponsor wao.
Haileti mantiki kabsa timu isiyodhaminiwa na sportpesa wapate hiyo nafasi ya kucheza na everton ili Hali timu zinazodhaminiwa zipo!

Hela wachukue ila mtanange na everton watuachiee wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushabiki pembeni. Mikia icheze na Everton. Ila tuwasikie kwanza Sportspesa wenyewe.
 
Taarifa rasmi kutoka wapi? punde hiyo hadi sasa kimya... underdogs mna tabu sana...Halafu moderators muwe mnahariri habari kama hizi zisizo na uhakika... Mtu anakula kiporo cha makande ya juzi na uji halafu anakuja kupost upupu
 
Niliambiwa kuwa wakongo wakimpiga mtu tano kuna ugonjwa wanaupandikiza. Sasa nimeamini maana matokeo yake taratibu yanaanza kuonekana
 
Bora tuu msicheze nao. mtaweka rekodi ya kupigwa bao nyingi. bora hao bangikali wacheze!..
 
Abas Tarimba ndiye ataye amua............
 
Taarifa rasmi kutoka wapi? punde hiyo hadi sasa kimya... underdogs mna tabu sana...Halafu moderators muwe mnahariri habari kama hizi zisizo na uhakika... Mtu anakula kiporo cha makande ya juzi na uji halafu anakuja kupost upupu
Hivi kwa sasa underdog kati ya Simba na wewe ni nani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…