Hizi social media zina mchango mkubwa sana katika kukuza democracy.China na Iran waliona mbali, hawakusubiri huu utumwa wa dunia nzima kuwa Twitter, Facebook, instagram, au kutegemea adroid.
Comment bora ya siku, naongezea.China na Iran waliona mbali, hawakusubiri huu utumwa wa dunia nzima kuwa Twitter, Facebook, instagram, au kutegemea adroid.
Watu wanafurahia sana kwa sababu hawampendi mzee wa watu. Ila hii iwe wake up call kwetu pia. Wanaweza leta hata vita hawa. Whoever controls information flow controls the thinking and consequently actions of members of that media.China na Iran waliona mbali, hawakusubiri huu utumwa wa dunia nzima kuwa Twitter, Facebook, instagram, au kutegemea adroid.
No. Kinachowavuruga sasa hivi hawa Marekani ni kuwa na mkundi mawili. Moja lina leseni ya kukanyaga sheria na katiba bila kuadhibiwa. Na la Pili ni wale wanaofuata sheria na kukanyagwa nankundi la kwanza!Comment bora ya siku, naongezea.
Hata demokrasia China,Urusi n.k waliona mbali, demokrasia ndio inaivuruga US kwa sasa. Migogoro mingi inasababishwa na kutoelewana kisiasa.
Nilikusoma mahali humu ukiita mtu majina kwa kutokubaliana na mategemeo yako kuhusu rais atakayeapishwa tar 20. Naona bado unaongea kwa mamlaka kuhusu siasa za marekani japo ule uzi sidhani kama umerudi.No. Kinachowavuruga sasa hivi hawa Marekani ni kuwa na mkundi mawili. Moja lina leseni ya kukanyaga sheria na katiba bila kuadhibiwa. Na la Pili ni wale wanaofuata sheria na kukanyagwa nankundi la kwanza!