Tetesi: Inasemekana Uhamiaji Kagera Wilaya ya Karagwe wananyang'anya vitambulisho raia wenye asili ya Rwanda

Tetesi: Inasemekana Uhamiaji Kagera Wilaya ya Karagwe wananyang'anya vitambulisho raia wenye asili ya Rwanda

mceglon

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
130
Reaction score
53
Kwa taarifa za kuaminika kutoka Kagera wilaya Karagwe inasema watu wengi wenye asili ya Rwanda wananyanganywa vitambulisho hata kama watoto wamezaliwa hapa na wazazi wao wamezaliwa hapa nchini!

Jamani hiyo taarifa imekaaje kwa nyie mnaojua tujulishane. Pia naombeni tujiepushe matusi kwenye comment. Asanteni sana.
 
Kuzaliwa Tanzania pekee na kupata cheti cha kuzaliwa hakuhalalishi kupata kitambulisho cha utaifa kama hutathibitisha kuwa mmoja kati ya wazazi wako au kwenye ukoo wako ni raia wa Tanzania kwa kurithi au kuzaliwa. Inawezekana kuna makosa yalifanyika hadi asiyestahili akapewa kitambulisho.
 
Waendelee tu na hiyo kazi, jambo jema hilo
 
Back
Top Bottom