Inasemekana wafunga rasta wanatumia sana bangi lakini haiwapi shida, ni kwa sababu gani?

Inasemekana wafunga rasta wanatumia sana bangi lakini haiwapi shida, ni kwa sababu gani?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Hawa watu (rasta men) wanavuta sana bangi lakini bado wanabaki kuwa watu wa Amani na Utulivu sana katika Jamii.

Hivi kuna nini mpaka haiwasumbui kichwa kama ilivyo kwa watu wengine?

FB_IMG_1698390415814.jpg
 
Hawa watu (rasta men ) wanavuta sana Ganja lakini bado wanabaki kuwa watu wa Amani na Utulivu sana katika Jamii...

Hivi kuna nini kwanini haiwasumbui kichwa kama ilivyo kwa watu wa kada nyingineView attachment 2794370
Umeishasema inawafanya kuwa na amani na utulivu! Unataka nini tena? Zezeta na mwendawazimu nao kwa mwonekano wana amani na utulivu! Wapeleke darasani ndo utajua kilichobaki kichwani ni nini!
 
Wengine wanavuta mkiwa na stress lazima ikucharue tu!
 
Hawa watu (rasta men) wanavuta sana bangi lakini bado wanabaki kuwa watu wa Amani na Utulivu sana katika Jamii.

Hivi kuna nini mpaka haiwasumbui kichwa kama ilivyo kwa watu wengine?

View attachment 2794370
Sio Rastafarian wote wanaofuga rasta wengine wanavyoa mapara, isikariri hivyo wao wanaitumia km sehemu ya dini yao ya Rastafarian wanafanya meditation
 
Kushabu ndio nini?
Takataka au tuseme sumukuvu za bangi, ushawahi kuona kwenye mahindi kuna km ukungu ukungu hivi unaoota kwenye mahindi na ili uyatumie inabidi uyaoshe kwanza ndio uyapike, sasa inatokea kwenye bangi Ila bangi huwezi kuiosha sasa wanavuta hio kitu inaitwa kushabu
 
Hiyo picha uliyotuwekea duh.
Kuna familia kuanzia baba mama mpaka watoto yaan wakiume na wakike wote wanakula km ugali yaan km unavyokula wewe wali wao ndio sehemu ya chakula chao bangi, isipokua kuna mdogo wao wa Mwisho wa kiume ndio wamempiga lock asitumie sana yule ndio anaonekana kidogo binadamu hawa wengine km mizimu
 
Et mizimu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bangi inachofanya kwa mtu ni kuboresha na kuimarisha kilichopo ndani. Yaani mtu anavyojiona yeye kuwa NI.

Anayejiona ni mtu wa amani akivuta bangi itakazia hicho hichoo,
Anayejiona haeleweki akivuta bhangi ndo anachanganyikiwa kabisaa,
Anayejiona yeye ni mtumbuizaji basi akivuta analishambulia jukwaa hadi anajishangaa,
Anayejiona hana heshima akishavuta ndio anamuona baba ake kama pilitoni.

Si ushasikia kwamba mtu akilewa akakutukana basi ujue anatamanigi akutukane sema tu anaogopa. Kilevi kimempa uhuru wa kuwa kile anachotamani, basi bhangi ndio maradufu yake kwa uhakika zaidi.
 
Back
Top Bottom