Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Umeishasema inawafanya kuwa na amani na utulivu! Unataka nini tena? Zezeta na mwendawazimu nao kwa mwonekano wana amani na utulivu! Wapeleke darasani ndo utajua kilichobaki kichwani ni nini!Hawa watu (rasta men ) wanavuta sana Ganja lakini bado wanabaki kuwa watu wa Amani na Utulivu sana katika Jamii...
Hivi kuna nini kwanini haiwasumbui kichwa kama ilivyo kwa watu wa kada nyingineView attachment 2794370
Kushabu ndio nini?Waonao changanyikiwa wanavuta kushabu.
Sio Rastafarian wote wanaofuga rasta wengine wanavyoa mapara, isikariri hivyo wao wanaitumia km sehemu ya dini yao ya Rastafarian wanafanya meditationHawa watu (rasta men) wanavuta sana bangi lakini bado wanabaki kuwa watu wa Amani na Utulivu sana katika Jamii.
Hivi kuna nini mpaka haiwasumbui kichwa kama ilivyo kwa watu wengine?
View attachment 2794370
Takataka au tuseme sumukuvu za bangi, ushawahi kuona kwenye mahindi kuna km ukungu ukungu hivi unaoota kwenye mahindi na ili uyatumie inabidi uyaoshe kwanza ndio uyapike, sasa inatokea kwenye bangi Ila bangi huwezi kuiosha sasa wanavuta hio kitu inaitwa kushabuKushabu ndio nini?
Hajaumia unataka ukampe pole ghetto kwake?Umeumia?
Kuna familia kuanzia baba mama mpaka watoto yaan wakiume na wakike wote wanakula km ugali yaan km unavyokula wewe wali wao ndio sehemu ya chakula chao bangi, isipokua kuna mdogo wao wa Mwisho wa kiume ndio wamempiga lock asitumie sana yule ndio anaonekana kidogo binadamu hawa wengine km mizimuHiyo picha uliyotuwekea duh.
No Niko sawa,kwanini umeulizaUmeumia?
hili kushabu
Et mizimu [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna familia kuanzia baba mama mpaka watoto yaan wakiume na wakike wote wanakula km ugali yaan km unavyokula wewe wali wao ndio sehemu ya chakula chao bangi, isipokua kuna mdogo wao wa Mwisho wa kiume ndio wamempiga lock asitumie sana yule ndio anaonekana kidogo binadamu hawa wengine km mizimu