Mfano mwingine mimi [emoji4][emoji4]Mfano mke wa OBAMA
Sina hata wa kusingiziwa [emoji2][emoji2]Ww una mzigo mkuu hii si category yaki
Hapana hawanijui kwakweli. Nimetereza bafuni a.k.a flat screenWanaokujua wanakujua vizuri sana
hii ni Peluvian hair au Brazilian hair?#INASEMEKANA: Watalaam wa mambo wanasema wanawake wembemba wasio na mizigo wana bahati sana. Ukidate nae mambo yanakuendea sawa, ukiwa nae tegemea bahati tu.
Shauri yenu nyie endeleeni kupenda mizigo.
View attachment 821288
okay, basi ni za kule CopaCabana.Probably ni zile kama za Neymar
hapana, hebu nijuze..Bei yake unaijua mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mfano mwingine mimi [emoji4][emoji4]