Inasemekana wanawake wembamba wana kismarti sana

Slim girls the luckiest girl ever.[emoji126]
 
Wapo wengi sana sema hawaonekani sio maarufu!hata Mimi pia naweza kua vile but kwa kua si maarufu nisionekane all in all nampongeza sana tu
Siku moja utaonekana mkuu trust your move.
 
Mkuu unamkubali WIFE mbele yangu. Una maana gani haswa?
Ni yupi mkuu wife kati ya hao wawili, mzigua au madame B. Ila sio kwa ubaya nawakubali tu kama rafiki wapenz basi na si vinginevyo japo pia natamani sana kuwaona live nijue niwazavyo ndivyo namwongeza na yna4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…