Cowman JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 1,715 Reaction score 3,158 Jul 29, 2018 Thread starter #61 Kylian D said: Ni yupi mkuu wife kati ya hao wawili, mzigua au madame B. Ila sio kwa ubaya nawakubali tu kama rafiki wapenz basi na si vinginevyo japo pia natamani sana kuwaona live nijue niwazavyo ndivyo namwongeza na yna4 Click to expand... Karibu nyumbani Pugu Kajungeni njia panda kwenda Kisarawe utamuona Mzigua90
Kylian D said: Ni yupi mkuu wife kati ya hao wawili, mzigua au madame B. Ila sio kwa ubaya nawakubali tu kama rafiki wapenz basi na si vinginevyo japo pia natamani sana kuwaona live nijue niwazavyo ndivyo namwongeza na yna4 Click to expand... Karibu nyumbani Pugu Kajungeni njia panda kwenda Kisarawe utamuona Mzigua90
K Kylian D JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 206 Reaction score 358 Jul 29, 2018 #62 Cowman said: Karibu nyumbani Pugu Kajungeni njia panda kwenda Kisarawe utamuona Mzigua90 Click to expand... Ahsante sana mkuu nitajitahidi kadri niwezavyo niweze hata tu kumtia machoni Mzigua90
Cowman said: Karibu nyumbani Pugu Kajungeni njia panda kwenda Kisarawe utamuona Mzigua90 Click to expand... Ahsante sana mkuu nitajitahidi kadri niwezavyo niweze hata tu kumtia machoni Mzigua90