likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
Toa takwimu siyo kuwaandika mambo ya kusadikikaUtakubaliana na mimi kuwa mwezi December ndiyo mwezi ambao watu wengi huzaliwa duniani.
Hii inatokana na ukweli kwamba, mwezi huu ni wa kihistoria wa kuzaliwa kwake Yesu Kristo aliyezaliwa na Bikira Maria kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Kuzaliwa kwake kulileta mabadiliko makubwa duniani ambapo watu wengi walipata elimu ya kiroho na jinsi ya kuwa karibu na Mungu.
Wapo wagonjwa walioponywa, wafu waliofufuliwa na vipofu waliopewa nuru.
Kama wewe umezaliwa mwezi huu mtakatifu basi weka tarehe yako hapa kusisitiza kuwa umezaliwa pamoja na masia.
[HASHTAG]#Merrychristmass[/HASHTAG]
Mimi nimezaliwa saa 6 usiku tarehe 25 December
Miezi yote ni mitakatifu usijifanye kuzaliwa desemba uwe special kuliko waliozaliwa miezi mingineUtakubaliana na mimi kuwa mwezi December ndiyo mwezi ambao watu wengi huzaliwa duniani.
Hii inatokana na ukweli kwamba, mwezi huu ni wa kihistoria wa kuzaliwa kwake Yesu Kristo aliyezaliwa na Bikira Maria kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Kuzaliwa kwake kulileta mabadiliko makubwa duniani ambapo watu wengi walipata elimu ya kiroho na jinsi ya kuwa karibu na Mungu.
Wapo wagonjwa walioponywa, wafu waliofufuliwa na vipofu waliopewa nuru.
Kama wewe umezaliwa mwezi huu mtakatifu basi weka tarehe yako hapa kusisitiza kuwa umezaliwa pamoja na masia.
[HASHTAG]#Merrychristmass[/HASHTAG]
Mimi nimezaliwa saa 6 usiku tarehe 25 December
Kule mkoani Kilimanjaro wengi wameziwa mwezi wa 9.Utakubaliana na mimi kuwa mwezi December ndiyo mwezi ambao watu wengi huzaliwa duniani.