Nianze kwa kuwapa pole hawa jamaa kwani fikiria mtu unapewa kichapo hadi unapamis kwenu na kuanza kuimba Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Hata hivyo awali walifanya show off ya kufungua tawi moja wakijiaminisha eti wao Congo ni kama nyumbani.
Sifa tu za kijinga kumbe hata ,hakuna anayewasapoti zaidi ya watanzania walioko huko ambao wengine ni Simba.
Yanga punguzeni shobo na kujipendekeza kisa kulazimisha tu kwamba mnajulikana.Mtajulikanaje iwapo kila siku mnaishi kwa kuwategemea akina mzee mpili badala ya kutegemea soka ndani ya uwanja?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app