Inashangaza ki ukweli kilekinachoendelea kariakoo

Kidabwenge

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
20
Reaction score
58
Leo nimeangalia karibia misiba yote ya kwenye gorofa na mengineyo nivilio tu Kwa wakinamama swali langu ni hili nafasi ya mwanaume mbona inafichwa kwani hao wanawake walijizalisha wenyewe hao watoto.

Yani baba ahojiwi ni wanawake tu mbona inatumika nguvu kubwa kufichwa mwanaume Kwa watoto wake hii imekaaje wakuu?
 
Jichunguze huenda wewe si mwanaume, mwanaume haitaji attention yoyote kutoka kwa yeyote kuthibitisha uanaume wake.

Wewe una shida kichwani, umewahi kumuona mume wa Samia?
 
Mnakimbia Mno majukumu mpaka mmesahaulika kama mpo dunian
 
Heeeh! Yamekuwa hayo tena!!

🍿🍷
 
Back
Top Bottom