Inashangaza: Mvua zinanyesha sana lakini maji bado ni ya mgao!

Inashangaza: Mvua zinanyesha sana lakini maji bado ni ya mgao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Au inanyesha Dar es Salaam tu huko mikoani hainyeshi?

Bujibuji Simba nyanaume huko Mbeya inanyesha?

Babati hapo Rombo hali ikoje?

Mmawia tujuze kutokea huko Ntwara.

Kibaha je? Kwako Mshana Jr

Na Machame bwashee Daudi Mchambuzu hali ya mvua ikoje huko?

Maendeleo hayana vyama!
 
Maeneo ya msingi kama Masaki ,Ikulu na sehemu nyingine muhimu,maji yanatoka,,hao wengine hata yasipotoka hamna umuhimu kwenye awamu hii ya sita
 
Mvua mbili tatu hizi una uhakika zitakuwa zmejaza hivyo vyanzo vya maji? Nyuzi nyingine muwe mnahusisha hata mashavu kufikiri
 
Hatunywi sumu hatujinyongi. CCM mbele kwa mbele
Acha waisome namba weeee
 
Au inanyesha Dar es Salaam tu huko mikoani hainyeshi?

Bujibuji Simba nyanaume huko Mbeya inanyesha?

Babati hapo Rombo hali ikoje?

Mmawia tujuze kutokea huko Ntwara.

Kibaha je? Kwako Mshana Jr

Na Machame bwashee Daudi Mchambuzu hali ya mvua ikoje huko?

Maendeleo hayana vyama!
CCM BILA YA MAGU NI MAVIII
 
Watasema maji yote yamechepushwa kwenda mabwawa ya samaki
 
CEO na Waziri watoe updates regularly . Je mitambo ni mbovu pia?
 
Au inanyesha Dar es Salaam tu huko mikoani hainyeshi?

Bujibuji Simba nyanaume huko Mbeya inanyesha?

Babati hapo Rombo hali ikoje?

Mmawia tujuze kutokea huko Ntwara.

Kibaha je? Kwako Mshana Jr

Na Machame bwashee Daudi Mchambuzu hali ya mvua ikoje huko?

Maendeleo hayana vyama!
Unapenda mwenyewe, nunua masufuria na mabeseni mengi ukinge maji, mbona Dawasa wanakinga Ruvu.
 
Inashangaza zaidi maji hayatoki lkn bill ya mwezi inatumwaa kubwa kama kawaida
 
CCM BILA YA MAGU NI MAVIII
Kwa miaka yake 5 kitu gani cha ajabu kizuri alikifanya?kama sio kutuletea majanga tu ambayo kuja kuyamaliza kuanzia kwa mtu mmoja hadi kwa taifa ni miaka kibao mbele?utegemee kuongoza nchi kwa kutumia ujanja ujanja na ulaghai kwa 80%?lazima ulete dhahama kwa watu wako!!MUNGU FUNDI
 
Nchi hii ni ngumu sana
Mi nipo LINDI tunategemea maji ya chini ya Ardhi siyo kwenye mito
Mwezi maji hayajatoka nanunua tu maji kwenye carry
Na sisi tumekubwa na changamoto ya Maji ni hatar sana
 
Au inanyesha Dar es Salaam tu huko mikoani hainyeshi?

Bujibuji Simba nyanaume huko Mbeya inanyesha?

Babati hapo Rombo hali ikoje?

Mmawia tujuze kutokea huko Ntwara.

Kibaha je? Kwako Mshana Jr

Na Machame bwashee Daudi Mchambuzu hali ya mvua ikoje huko?

Maendeleo hayana vyama!
Wapiga Dili wamerudi upyaaaaa
 
Hapa dar mvua inanyesha maeneo tofauti tofauti yaan [emoji848]
 
Back
Top Bottom