Inashangaza pale ambapo Profesa Assad anapozungumzia kuhusu kuondolewa kwake kinyume cha katiba, watu wengine wanasema eti akubali matokeo

Sasa Analialia Nini kama angekuwa kweli professor angeenda kufanya kazi za kimataifa kama kina Beno Ndulu lakini yeye kila siku anazurula kwenye nedia
 
Basi afungue kesi mahakamani wewe ulitaka afanyaje?
Case ilishafunguliwa mahakamani.

Na ipo Mahakama ya Rufaa kwa sasa.

Tunawaeleza hao wasiojitambua kuwa Assad halalamiki Wala hataki huruma kwa yoyote, yeye anasimamia haki zake kwa kujiamini.
 
Case ilishafunguliwa mahakamani.

Na ipo Mahakama ya Rufaa kwa sasa.

Tunawaeleza hao wasiojitambua kuwa Assad halalamiki Wala hataki huruma kwa yoyote, yeye anasimamia haki zake kwa kujiamini.
Kwaiyo anataka kurudishwa kazini?
 
Sasa Analialia Nini kama angekuwa kweli professor angeenda kufanya kazi za kimataifa kama kina Beno Ndulu lakini yeye kila siku anazurula kwenye nedia
Hajaanza kufanya kazi kimataifa Leo,ameanza zama na zama labda wewe haumfaham,na HADI Leo hii anafanya kazi na jumuiya za kimataifa

Nenda Udsm utapata wasifu wake na kazi zake alizozifanya.

Huyo siyo Profesa uchwara kama wenu hao kina Tibaijuka wanaogambania fedha za wizi kama zile za Escrow.
 
Kwaiyo anataka kurudishwa kazini?
Kama kikatiba alipaswa kustaafu akiwa na Miaka 60,kisha wao wakamtoa kabla hajafika Miaka 60,means wamemtoa akiwa na Miaka 55, means amekosa stahiki zake za kikatiba za Miaka mitano,zikiwemo mishahara,posho na kadhalika...

Kuna dhambi Gani akidai hizo haki zake??
 
Muda anaotumia kulalamika angeutumia kwa mambo ya maana maana hata anayemlalamikia hayupo duniani
 
Sio dhambi mbona kachelewa sana lakini akumbuke huko mahakamani anaenda kusikilizwa na watu aliowaita wanauwezo mdogo
 
Muda anaotumia kulalamika angeutumia kwa mambo ya maana maana hata anayemlalamikia hayupo duniani
Hamlalamikii Mwendazake,na hakuna anapolalamika besides.

Iliyomuondoa ni mamlaka ya Rais,ni serikali ilimuondoa kwa nguvu ya Rais aliekakosa weledi wake,na Raisi huyo keshaoza na kupotea,Taasisi ya Urais ipo na haki zake zinaweza tekelezwa.

Wangapi walipokonywa mali na Mwendazake na sasa hayupo ila serikali hii ikawarudishia stahiki zao??

Tumia Akili.
 
Sio dhambi mbona kachelewa sana lakini akumbuke huko mahakamani anaenda kusikilizwa na watu aliowaita wanauwezo mdogo
Haki hata ikichelewa haizuii mwenye kudai kukata tamaa.

Hii itasaidi pia kuweka kumbu kumbu baadae,wakija Maraisi wengine vichaa wasije wakajiamulia tuh kufanya mambo kana kwamba wao wataoshi milele,au kana kwamba Taasisi ya Urais ni mali YAO.
 
Aache kulia lia kama mtoto mdogo!

Ana maumivu sana na U CAG.. Akamwambie chura kiziwi ampe si ni mwenzake katika imani
Utoto kwenye mambo serious jaribu basi kuficha ujinga wako jibu hoja za mtoa mada.
 
Katika hili,mzee Assad alikuwa ametekwa kipprpffession kwa sababu ajira yake ni kwa mjibu wa katiba na hulindwa na katiba hiyo hiyo ambayo ambayo mtekaji aliivunja.Hivyo anayo haki ya kupeleka malalamiko yake mahakamani.
 
Hawa jamaa huwa ni wadini na washirikina sn
Wewe kwenda kanisani na kufufuliwa maiti na nabii gwajima huon kama ni ushirikina??

Au vile mwamposa anavyokuambia ukanyage mafuta yake ili mumeo akikupiga mashine upate mimba ya watoto mapacha siyo ushirikina ule??

Kama siyo ushirikina tuite nini,nabii mwamposa aweze kufanya miujiza ambayo hata Yesu Kristo hakufanya??
 
Katika hili,mzee Assad alikuwa ametekwa kipprpffession kwa sababu ajira yake ni kwa mjibu wa katiba na hulindwa na katiba hiyo hiyo ambayo ambayo mtekaji aliivunja.Hivyo anayo haki ya kupeleka malalamiko yake mahakamani.
Sawa, nashukuru kwa uelewa wako Mkuu.
 
Yaani mna wa imani yenu na mnalialia bado,,,kweli kulialia ni jadi yenu makobazi
 
Haki hata ikichelewa haizuii mwenye kudai kukata tamaa.

Hii itasaidi pia kuweka kumbu kumbu baadae,wakija Maraisi wengine vichaa wasije wakajiamulia tuh kufanya mambo kana kwamba wao wataoshi milele,au kana kwamba Taasisi ya Urais ni mali YAO.
Katiba ya Tanzania imempa absolutely power Rais kuamua chochote bila kushauriana na mtu yoyote
 
Haki yake ni kulipwa STAHIKI ZAKE AKIWA TAYARI AMESHAFIKISHA MIAKA 60.,SASA HAKULIPWA NA KAONDOLEWA KINYUME NA UTARATIBU.
Utaratibu unatakaje baada ya kuondolewa kinyume na utaratibu ?

Je haki yake ni kulalamika ama inabidi arudishwe kwa sasa hivi ?

Nauliza kwa sasa hivi sheria inataka afanyiwe nini profesa mussa ?
 
Napingana na alichofanyiwa, lakini napingana na kulialia kwake pia.
Atafute suluhisho kama mtu aliyeelimika. Hizi media zitamshushia hadhi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…