Inashangaza pale ambapo Profesa Assad anapozungumzia kuhusu kuondolewa kwake kinyume cha katiba, watu wengine wanasema eti akubali matokeo

Nimeuliza swali kwanini rais samia hajamlipa mpaka leo mzee wa watu analalamika

Rais samia muislamu amlipe mzee assad
Sasa anamlalamikia Rais ambaye ameshafariki atamsaidia nini siukichaa huo
 
Nimeuliza swali kwanini rais samia hajamlipa mpaka leo mzee wa watu analalamika

Rais samia muislamu amlipe mzee assad
Sasa anamlalamikia Rais ambaye ameshafariki atamsaidia nini siukichaa huo
Suala liko mahakamani,na hakuna sehemu yeyote alipomlalamikia yule kichaa.
 
Kwa hiyo arudishwe kwenye nafasi yake itakuwa imekaa vzr sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…