Inashangaza sana!! Je Edeni hazard ndiye mchezaji anaefuata baada ya Messi na Ronaldo kwa sasa?

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Madrid akili yao yote ni Hazard kwa sasa

Huwaambii kitu kwa Hazard

Wamewasahau kina Neymar, Mbape, pogba na harakati zao zote kwa sasa ni Hazard

Je ni kweli hazard anawazidi kiwango Neymar, Mbape, pogba, salah na sadio mane? Kiasi kwamba real Madrid hawawaoni hawa Bali mimacho yao ni kwa Hazard tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neymar sio aina ya mchezaji anayeweza kucheza Real Madrid. Wao kwa sasa wanamhitaji mchezaji aina ya Pogba, Hazard na kwa mbali Mbappe. Ukiiangalia mfumo wa Real Madrid haumfai kabisa Neymar na ndio maana wanaelekeza zaidi akili yao kwa Hazard na wakiweza kuwapata Pogba au Salah watakuwa poa zaidi. Lakini Mane hapana.
 
Kinachonishangaza Mimi habari za wao kumtaka salah, na pogba sio kipaumbele Chao

Wao ni Hazard tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soka la zidane linamuhitaji mtu kama hazard, hazard ni mchezaji anaecheza kitimu tofauti mnoo na neymar japo hazard si mfungaji mzuri sana ila ni mzuri zaidi kwenye eneo la wapinzaji, hazard anajua kumiliki mpira kwa faida ya timu tofauti na neymar huwa anafanya show nyingi zisizokuwa na faida kwa team, movements za hazard ni nzuri kushinda movements za neymar ambae wakati mwingine anafanya anauwa mashbulizi ya timu..

Hapo atleast mbappe na sio pogba, pogba ni midfielder zaidi, japo kwa pamoja wanaweza kuchez wote hazard, pogba na mbappe.

Ila kusema ndio mrithi wa messi na ronaldo mie nalipinga hilo.. Hazard hawezi kuwa mrithi wa hao watu wawili.. Kwenye soka itachukua muda kidogo kuwapa wtu wa kariba ya viumbe hawa wawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Hazard anaitaka sana Madrid kuliko hata Madrid wanavyomhitaji
kwa sasa upepo umegeuka kidogo Madrid wanamhitaji Mane ukiangalia hata dau lake ni dogo ukilinganisha na Hazard,Salah,Mbappe,Pogba na Neymar na kwa kipindi hiki Mane yupo form sana ila nadhani kati ya hiyo list hatatua mmoja Madrid ni kuanzia wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazard ni mchezaji mzuri ila hawezi kuwa mbadala wa Messi wala Ronaldo.

Ila Mbappe ni mzuri zaidi ya Hazard
Pogba anaweza kuwa replacement ya Toni Kroos kama kroos ataondoka Madrid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madrid akili yao yote ni Hazard kwa sasa

Huwaambii kitu kwa Hazard

Wamewasahau kina Neymar, Mbape, pogba na harakati zao zote kwa sasa ni Hazard

Je ni kweli hazard anawazidi kiwango Neymar, Mbape, pogba, salah na sadio mane? Kiasi kwamba real Madrid hawawaoni hawa Bali mimacho yao ni kwa Hazard tu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hazard ni mzuri kuliko wote uliowataja.
 
Samahani mkuu…
Hivi Madrid ndio wanamtaka Hazard au Hazard ndio anaitaka Madrid?

Kwa kumbukumbu zangu sijawahi kuona official statement yoyote ya Madrid kumtaka Hazard ila mara kibao nimemuona Hazard akitamka anatamani kuchezea Madrid hapo baadae
Madrid akili yao yote ni Hazard kwa sasa

Huwaambii kitu kwa Hazard

Wamewasahau kina Neymar, Mbape, pogba na harakati zao zote kwa sasa ni Hazard

Je ni kweli hazard anawazidi kiwango Neymar, Mbape, pogba, salah na sadio mane? Kiasi kwamba real Madrid hawawaoni hawa Bali mimacho yao ni kwa Hazard tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soka la zidane linamuhitaji mtu kama hazard, hazard ni mchezaji anaecheza kitimu tofauti mnoo na neymar japo hazard si mfungaji mzuri sana ila ni mzuri zaidi kwenye eneo la wapinzaji, hazard anajua kumiliki mpira kwa faida ya timu tofauti na neymar huwa anafanya show nyingi zisizokuwa na faida kwa team, movements za hazard ni nzuri kushinda movements za neymar ambae wakati mwingine anafanya anauwa mashbulizi ya timu..

Hapo atleast mbappe na sio pogba, pogba ni midfielder zaidi, japo kwa pamoja wanaweza kuchez wote hazard, pogba na mbappe.

Ila kusema ndio mrithi wa messi na ronaldo mie nalipinga hilo.. Hazard hawezi kuwa mrithi wa hao watu wawili.. Kwenye soka itachukua muda kidogo kuwapa wtu wa kariba ya viumbe hawa wawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kuchukua muda kidogo kuwapata mbadala huenda wasipatikane kabisa.

Sijasema mrithi wao Bali ndiye anayefuatia wa Tatu baada ya hao wawili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Hazard anaitaka sana Madrid kuliko hata Madrid wanavyomhitaji
kwa sasa upepo umegeuka kidogo Madrid wanamhitaji Mane ukiangalia hata dau lake ni dogo ukilinganisha na Hazard,Salah,Mbappe,Pogba na Neymar na kwa kipindi hiki Mane yupo form sana ila nadhani kati ya hiyo list hatatua mmoja Madrid ni kuanzia wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hazard haitaki Madrid Bali ni zinedine zidane tu ndiye anamfanya Hazard aitake madrid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neymar sio aina ya mchezaji anayeweza kucheza Real Madrid. Wao kwa sasa wanamhitaji mchezaji aina ya Pogba, Hazard na kwa mbali Mbappe. Ukiiangalia mfumo wa Real Madrid haumfai kabisa Neymar na ndio maana wanaelekeza zaidi akili yao kwa Hazard na wakiweza kuwapata Pogba au Salah watakuwa poa zaidi. Lakini Mane hapana.
Mkuu big up, we unajua mpira..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom