eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Kinachonishangaza Mimi habari za wao kumtaka salah, na pogba sio kipaumbele ChaoNeymar sio aina ya mchezaji anayeweza kucheza Real Madrid. Wao kwa sasa wanamhitaji mchezaji aina ya Pogba, Hazard na kwa mbali Mbappe. Ukiiangalia mfumo wa Real Madrid haumfai kabisa Neymar na ndio maana wanaelekeza zaidi akili yao kwa Hazard na wakiweza kuwapata Pogba au Salah watakuwa poa zaidi. Lakini Mane hapana.
Mi ni shabiki wake toka akiwa Lile ya ufaransa sijaanza Leo na alipohamia Chelsea basi ikawa sare sare maua maana Mimi ni Chelsea damuWe mwenyewe umemweka kwenye avatar yako kuonesha unamkubali kuliko messi na Ronaldo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku Brazil wakijua kuwa anayewazuia wasifike mbali world cup ni Neymar watatwaa world cup
Sent using Jamii Forums mobile app
Madrid akili yao yote ni Hazard kwa sasa
Huwaambii kitu kwa Hazard
Wamewasahau kina Neymar, Mbape, pogba na harakati zao zote kwa sasa ni Hazard
Je ni kweli hazard anawazidi kiwango Neymar, Mbape, pogba, salah na sadio mane? Kiasi kwamba real Madrid hawawaoni hawa Bali mimacho yao ni kwa Hazard tu?

Sio kuchukua muda kidogo kuwapata mbadala huenda wasipatikane kabisa.Soka la zidane linamuhitaji mtu kama hazard, hazard ni mchezaji anaecheza kitimu tofauti mnoo na neymar japo hazard si mfungaji mzuri sana ila ni mzuri zaidi kwenye eneo la wapinzaji, hazard anajua kumiliki mpira kwa faida ya timu tofauti na neymar huwa anafanya show nyingi zisizokuwa na faida kwa team, movements za hazard ni nzuri kushinda movements za neymar ambae wakati mwingine anafanya anauwa mashbulizi ya timu..
Hapo atleast mbappe na sio pogba, pogba ni midfielder zaidi, japo kwa pamoja wanaweza kuchez wote hazard, pogba na mbappe.
Ila kusema ndio mrithi wa messi na ronaldo mie nalipinga hilo.. Hazard hawezi kuwa mrithi wa hao watu wawili.. Kwenye soka itachukua muda kidogo kuwapa wtu wa kariba ya viumbe hawa wawili.
Sent using Jamii Forums mobile app
This is Fact.Siku Brazil wakijua kuwa anayewazuia wasifike mbali world cup ni Neymar watatwaa world cup
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema mrithi wao Bali ndiye anayefuatia wa Tatu baada ya hao wawili?Soka la zidane linamuhitaji mtu kama hazard, hazard ni mchezaji anaecheza kitimu tofauti mnoo na neymar japo hazard si mfungaji mzuri sana ila ni mzuri zaidi kwenye eneo la wapinzaji, hazard anajua kumiliki mpira kwa faida ya timu tofauti na neymar huwa anafanya show nyingi zisizokuwa na faida kwa team, movements za hazard ni nzuri kushinda movements za neymar ambae wakati mwingine anafanya anauwa mashbulizi ya timu..
Hapo atleast mbappe na sio pogba, pogba ni midfielder zaidi, japo kwa pamoja wanaweza kuchez wote hazard, pogba na mbappe.
Ila kusema ndio mrithi wa messi na ronaldo mie nalipinga hilo.. Hazard hawezi kuwa mrithi wa hao watu wawili.. Kwenye soka itachukua muda kidogo kuwapa wtu wa kariba ya viumbe hawa wawili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazard haitaki Madrid Bali ni zinedine zidane tu ndiye anamfanya Hazard aitake madridUkweli ni kwamba Hazard anaitaka sana Madrid kuliko hata Madrid wanavyomhitaji
kwa sasa upepo umegeuka kidogo Madrid wanamhitaji Mane ukiangalia hata dau lake ni dogo ukilinganisha na Hazard,Salah,Mbappe,Pogba na Neymar na kwa kipindi hiki Mane yupo form sana ila nadhani kati ya hiyo list hatatua mmoja Madrid ni kuanzia wawili
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku Brazil wakijua kuwa anayewazuia wasifike mbali world cup ni Neymar watatwaa world cup
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu big up, we unajua mpira..Neymar sio aina ya mchezaji anayeweza kucheza Real Madrid. Wao kwa sasa wanamhitaji mchezaji aina ya Pogba, Hazard na kwa mbali Mbappe. Ukiiangalia mfumo wa Real Madrid haumfai kabisa Neymar na ndio maana wanaelekeza zaidi akili yao kwa Hazard na wakiweza kuwapata Pogba au Salah watakuwa poa zaidi. Lakini Mane hapana.