Inashauriwa kutembelea maziwa makubwa, mito, fukwe za bahari kuimarisha afya ya ubongo

Inashauriwa kutembelea maziwa makubwa, mito, fukwe za bahari kuimarisha afya ya ubongo

Bess

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
547
Reaction score
656
Summary:

Inashauriwa kutembelea maziwa makubwa, mito, fukwe za bahari ili kuimarisha afya ya ubongo wa mwanadamu

Tafiti iliyofanyika imeonesha watu waliotembelea maeneo haya wana afya nzurr ya ubongo na magonjwa yaambatanayo na msongo wa mawazo/ama uchovu hayawakaribii kabisa

Ushauri: Sio tu vyakula vyenye virutubisho vinaimarisha afya zetu, bali pia kutalii kwenye vitu vya asili sio jambo la kupuuzia.

Mwanadamu aliumbwa kuzungukwa na miti, milima, mabonde, mito, maua nawanyama rafiki:

Miundo mbinu na ujenzi umeharibu hii Asili na ubongo wa mwanadamu siku zote huwa na ombwe la kukosa haya mahusiano

Kutalii kwenye mbuga za wanyama, maporomoko ya mito mikubwa, maziwa, bahari hurejesha haya mahusiano na hakika huchangia furaha ya asili ya mwanadamu.

 
Kuna tatizo lolote endapo mtu atatembelea maeneo hayo kila siku.. Mimi nina kawaida ya kutembelea fukwe za bahari kila siku..
 
Back
Top Bottom