Inasikitisha: Badala ya ku-export mbaazi, sasa tuna-export ngono kwenda India

Inasikitisha: Badala ya ku-export mbaazi, sasa tuna-export ngono kwenda India

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Imebainika moja ya mazao makubwa yanayokuwa exported toka Tanzania kwenda India ni ngono, hii ni baada ya soko letu la bilioni 500 la mbaazi huko India kuyeyuka.

Je, tupo sahihi kuexport bidhaa hii? Video hapo chini ina maelezo ya ziada na ya kina.

Ila pia sijafurahia hii tabia ya mabeberu kupenda kutangaza mabaya tu ya nchi yetu, yaani wao hawaoni jema kabisa.

Anyway, tuangalie video.

 
Back
Top Bottom