Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kiukweli katika vitu ambavyo vinasikitisha na kutia aibu ni kuona raia wa kigeni wakitukuza lugha yetu adhimu ya kiswahili huku sisi waswahili halisi tukipuuzia lugha yetu na kuiona kuwa ni lugha ya kishamba na badala yake tunang'ang'ana na lugha ya malkia ni aibu sana kwa kweli.
Huyu mchina anayejiita Juma Suluhu Sharobaro wa msanga anajitahidi sana kupaisha lugha yetu ya kiswahili sambamba na kupaisha utamaduni wetu wa kitanzania ila kwa sisi wazawa ndio kwaaanza tunatumia nguvu kubwa kukataa vya kwetu , inasikitisha sana kwa kweli.