Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Yaah jamaa anajua sana.Nimezisikiliza ngoma zake ni kali kiliko za kibamia
Yeeeeeahhuyo ni marketing manager wa star times...
alivyofika bongo tu. mbinu yake ya kwanza ni kujua kiswahili fasta.. na kujichanganya. na hii imemsaidia sana kuipromote star times..
hata hiyo bongo star search anazingua tu kuweka ladha..
hii ndio inaonesha ubunifu... hii haofundishwi chuo kikuu.. ni ujanja wa kibiashara
Ukweli ni kwamba wengi wanaokiponda kingereza hawako fluent katika lugha hiyo!
Tukubali tu, kingereza kina wenyewe!
Ndo nani uyo?konki sio konkoKonko Konko Konko Masta, hajamuona huyu??
Wee huoni kwa bashite? Alienda ulaya kupandikiza mbegu holaa akaendamarekani holaa akatinga china maamae kitu kikatunga.Wachina wana vichwa vyepesi hatari hadi wazungu huwa wanaogopa hivyo vichwa, nilishawahi kukaa na mzungu akasema chinese ni ma genius
Weka picha ya mchina akisukuma mkokoteniMchina balaa, hakuna Mwafrika atakayepona enzi hizi, wapo kila kona, kuuza karanga wapo, kusukuma mikokoteni ndiyo usiseme, hakuna kitu kisichofanywa na Mchina Bongo, akili ni sisi twende kwao tufanye hayo hayo tu..
Haina haja, nenda mtaa wa Congo, Kariakoo, utawaona mwenyewe..Weka picha ya mchina akisukuma mkokoteni
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wee huoni kwa bashite? Alienda ulaya kupandikiza mbegu holaa akaendamarekani holaa akatinga china maamae kitu kikatunga.
Mchina mshenzi sana