Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Vipi watazamaji hawaendi kuwatunza?Hela wanazopata labda kupitia kuuza CD zao au Ma T-shirt na kofia ambapo kwa show moja hawawezi kuuza CD zaidi ya 10 na T shirt hazizidi tatu.
Hahahhh chid anazinguab[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chidi anapewa 300,000 halafu analalamika et
Duh wanaona madogo wanaimba yo yo wanakula ma endorsement wao na talent zao maskn hata bajaj hawanaAisee hali ilipofikia kwa sasa ni mbaya .
Yani Msondo ngoma licha ya ukubwa wa bendi lakini kwa show wanalipwa laki 2 mpaka nne tu tena mbaya zaidi kiingilio vinywaji tu.
Msondo wameshatimuliwa bulyaga na sugar ray bar kisa kuomba kuongezwa malipo angalau walipwe laki 5.
Sasa ninachojiuliza hiyo laki 4 wanagawana vipi maana wasanii ni wengi ,bado pesa ya usafiri kubebea vyombo vyao vya muziki ,bado hapo mavazi nk.
Tena bora hata ya Msondo kidogo inapendwa na wengi kuliko Sikinde na Talent band hawa sidhani kama wanalipwa hata laki 3.
ππππWateja wenyewe wa bar kwanza wanaanza kwa Mama Muuza, wanakunywa gongo wakiingia bar bia tatu mdogo mdogo. Sasa unafikiri mwenye bar anapata faida bei gani?
M.amae,kweli hali ngumuWateja wenyewe wa bar kwanza wanaanza kwa Mama Muuza, wanakunywa gongo wakiingia bar bia tatu mdogo mdogo. Sasa unafikiri mwenye bar anapata faida bei gani?
Huwa sielewi huyu jamaa hiyo anayovaa miguuni ni kaptura au suruali au pensi
View attachment 1829767ahaha
Mkuu nguvu ya soko ndio inaamua bei, hii ya sasa sio Msondo wenye Msondo walishatangulia mbele za haki.Aisee hali ilipofikia kwa sasa ni mbaya .