Inasikitisha sana Msondo Ngoma wanalipwa laki 4 tu kwa show

Nlikuwa nawakubali sana msondo&twanga

Ova
 
Mzigo wa lawama inabidi tumtwishe Sadala kama ilivyo desturi yetu, inabidi itafutwe au itungwe mbinu ya kumbebesha hili gunia la misumari kwa nini yeye analipwa mamilioni mengi per show.
 
Kawaida Sana hata huko USA kuna wasanii wakubwa wakati wao ukipita wanatumbuiza vichochoroni tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…